Click here for the English version / Bofya hapa kwa toleo la Kiingereza
Siku ya 1 Utangulizi: kuchunguza kazi yako mwenyewe, mahitaji ya tathmini, vijana na kupanga kazi zako za vitendo
Washiriki wataongeza uelewa kuhusu maendeleo ya kazi yao wenyewe na watafanya tathmini binafsi kuhusu umahiri wao katika kuwaongoza vijana. Wanaweka malengo kuhusu kipi cha kufanikisha na namna ya kuendesha mchakato wao wa kujifunza. Wanafafanua mgawo wa kazi ya vitendo: Tengeneza programu iliyoundwa maalum ‘Maendeleo ya Kazi’ kwa ajili ya vijana unaofanya nao kazi. Na wanaanza na tathmini ya mahitaji ya kikundi cha vijana watakachoongoza.
- Maelezo na kuomba T-o-T juu ya Maendeleo ya Kazi.
- Programu ya T-o-T Maendeleo ya Kazi, siku ya 1
- Uwasilishaji T-o-T Maendeleo ya Kazi, siku ya 1
- STARR Katarasi kwa ajili ya wasaili
- STARR Karatasi kwa ajili ya mchunguzi
- Kitabu cha kumbukumbu T-o-T Maendeleo ya Kazi, siku ya 1
- Kazi ya vitendo kwa washiriki T-o-T Maendeleo ya Kazi
Siku ya 2 ‘Gundua kipaji chako’
- Programu ya T-o-T Maendeleo ya Kazi, siku ya 2
- Uwasilishaji T-o-T Maendeleo ya Kazi, siku ya 2
- T-o-T Maendeleo ya Kazi, siku ya 2
Siku ya 3 ‘Gundua shauku yako’
- Programu ya T-o-T Maendeleo ya Kazi, siku ya 3
- Uwasilishaji T-o-T Maendeleo ya Kazi, siku ya 3
- Kitabu cha kumbukumbu T-o-T Maendeleo ya Kazi, siku ya 3
- Muundo wa Kazi ya Vitendo ya T-o-T Maendeleo ya Kazi
Siku ya 4 ‘Gundua ulimwengu wako wa kazi’
- Programu ya T-o-T Maendeleo ya Kazi, siku ya 4
- Uwasilishaji T-o-T Maendeleo ya Kazi, siku ya 4
- Kitabu cha kumbukumbu T-o-T Maendeleo ya Kazi, siku ya 4
Siku ya 5 ‘Gundua mtandao wako’
- Programu ya T-o-T Maendeleo ya Kazi, siku ya 5
- Uwasilishaji T-o-T Maendeleo ya Kazi, siku ya 5
- Kitabu cha kumbukumbu T-o-T Maendeleo ya Kazi, siku ya 5
Siku ya 6 ‘Gundua biashara yako’
- Programu ya T-o-T Maendeleo ya Kazi, siku ya 6
- Uwasilishaji T-o-T Maendeleo ya Kazi, siku ya 6
- Kitabu cha kumbukumbu T-o-T Maendeleo ya Kazi, siku ya 6
Siku ya 7 ‘Mpango kazi wako na kuomba kazi’
- Programu ya T-o-T Maendeleo ya Kazi, siku ya 7
- Uwasilishaji T-o-T Maendeleo ya Kazi, siku ya 7
- Kitabu cha kumbukumbu T-o-T Maendeleo ya Kazi, siku ya 7
Siku ya 8 ‘Mawasilisho na Tathmini’
Katika siku hii ya mwisho washiriki wanawasilisha programu yao iliyoundwa kwa meneja, maafisa wakuu na wafanyakazi wenzao wa taasisi zao. Wanaonesha kile ambacho wamefanikiwa na namna maendeleo ya kazi yanavyoweza kuwa sehemu ya mafunzo, kozi na mwongozo ambao taasisi hutoa. Hatimaye kuna tathmini ya mafunzo na kushirikishana kuhusu mahitaji ya utekelezaji na maendeleo zaidi. Na ni aina ya sherehe pamoja na vyeti na duru ya pongezi kwa jirani.